Walimu wasusia shule za Lamu
Shule nyingi katika msitu wa Boni kaunti ya Lamu hazina walimu au vifaa vya masomo. Hii ni licha ya serikali kuagiza shule zifunguliwe mwezi jana. Shule hizo za Milimani, Basuba, Mangai, Mararani and Kiangwe hazijapata walimu. Hii inatokana na changamoto ya kiusalama inayosababishwa na ugaidi kutoka kwa al-shabaab.
Wanafunzi wa vyuo kuandamana Sonko asipoachiwa huru
Wanafunzi wa vyuo vikuu hapa Mombasa wataandamana iwapo aliyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi Mike Mbuvi Sonko ataendelea kuzuiliwa. Wanafunzi hao wamekosoa serkali kwa madai ya kuwakamata na kuwashtaki baadhi ya viongozi wanaopinga BBI. Aidha wamemtaka naibu rais William Ruto kuwatetea viongozi wanaomuunga mkono ambao wamekuwa wakihangaishwa na serikali.
Varsity students in Mombasa threaten to hold demo if Sonko is not set free

University students in Mombasa have threatened to hold demos if ex-Nairobi Governor Mike Sonko is not set free. Sonko is currently detained at Gigiri police station for five days. The students accused the government of harassing Sonko for rejecting the BBI. According to them leaders perceived to be against the document are harassed for no […]