Mwanahabari wa Baraka FM azoa tuzo za uandishi wa kawi

Niarobi,KENYA: Mwanahabari wa Baraka FM ameshinda tuzo za uandishi bora. Hillary Makokha alizoa tuzo mbili jumanne jioni katika mashindano ya uandishi bora wa masuala ya kawi na mazigira yaliyofanyika mjini Nairobi. Mashindano hayo yalihudhuriwa na waziri wa kawi Charles Keter. Makokha alishinda kutokana na makala yake iliyoangazia manufaa ya jikokoa. Mshindi wa kila kitengo alipokea […]
NASA kurudisha wadhifa wa waziri mkuu serikalini

Nairobi,KENYA: Muungano wa NASA umezindua rasmi manifesto yake. Katika manifesto hiyo, NASA itabuni nafasi ya waziri mkuu ambaye atakuwa na jukumu la kuunda baraza la mawaziri 20. Wakati huo huo serikali hiyo pia itakuwa na manaibu mawaziri wasiozidi 20. NASA pia inasema itaongeza mgao kwa serikali za kaunti hadi asilimia 45 ili kuhakikisha maendeleo mashinani. […]
Kenya becomes 1st country to host Tax Academy in Africa

Nairobi, KENYA: Kenya Revenue Authority on Tuesday launched a for training 27 individuals on combating tax and other financial crimes through the Africa Academy for Tax and Financial Crime Investigation. The training is expected to run for two weeks and will take place at the Kenya School of Monetary Studies. Speaking at the launch program […]