Msongamano wa magari Kibarani wakera abiria

Mombasa,KENYA: Wasafiri wanaotumia barabara ya Kibarani hapa Mombasa wanaendelea kulalama kuhusu msongamano  wa magari. Msongamano huo mkubwa unadaiwa kusababishwa na barabara mbovu eneo la Jomvu kuelekea Miritini. Abiria wanalalamika kuwa safari ya dakika kumi na tano inawachukua zaidi ya saa mbili. Sasa wanawataka wahusika kutafuta suluhisho la msongamano huo wakilalama kuwa wanapoteza muda mwingi barabarani […]

Manchester United beat Ajax to win Europa League

Stockholm, SWEDEN: Manchester United scored two goals past Ajax to win the Europa League final in Stockholm. Paul Pogba’s deflected shot put them ahead in the 18th minute. Later in the 48 minute, Chris Smalling’s header at a corner met Henrikh Mkhitaryan in front of goal with the midfielder wasting no chance to put the […]