Gor dislodge Rangers at the apex as Tusker maintain impressive run in KPL
Nairobi, KENYA: Kenyan Premier League record winners Gor Mahia have climbed to the apex of the standings following a 1-0 victory over Nzoia United on Sunday, thanks to Meddie Kagere’s lone strike. The success has seen K’ogalo take their point tally to 25 after 11 rounds of matches dislodging at the summit unbeaten Posta Rangers […]
Walimu kupata nyongeza ya mishahara
Nairobi,KENYA: Walimu wataanza kupokea nyongeza yao ya mshahara mwezi wa saba mwaka huu. Tume ya huduma kwa walimu TSC inasema serikali imetoa shilingi bilioni 13.8 kutekeleza mpango huo wa nyongeza ya mishahara. Aidha nyongeza hiyo itakua ikitolewa kwa awamu. Mwaka jana walimu waligoma kwa miezi kadhaa kutaka nyongeza ya mishahara kama walivyoelewana na serikali. Kenya ina […]