Waandishi wa Baraka FM wazoa tuzo za wanahabari
Nairobi,KENYA:Baraka FM kwa mara nyingine imejizolea sifa tele katika tuzo za waandhishi wa habari zilizoandaliwa siku ya jumatano mjini Nairobi na baraza la vyombo vya habari. Maripota Diana Wanonyi na Joseph Jira walishinda tuzo katika hafla ya kusherehekea uhuru wa vyombo vya habari. Diana aliibuka mshindi mara mbili kwa kuandika makala kuhusu uhuru wa vyombo […]